Skip to content
Akili and Me
  • Video
  • Vitabu
  • Shughuli
  • Wimbo
  • Duka
  • Kwa Walezi
  • Kiswahili
    • English
Akili and Me
  • Video
  • Vitabu
  • Shughuli
  • Wimbo
  • Duka
  • Kwa Walezi
  • Kiswahili
    • English
00:00:00
Jifunze zaidi
Inasaidia kufahamu muda wa kutazama skrini unaopendekezwa na wataalam, ambayo yalisasishwa na taasisi ya daktari wa watoto Marekani (AAP) mwaka jana. AAP imetoa mapendekezo ya fuatayo:

Kwa watoto wenye umri chini ya miezi 18, inapaswa watumie skrini wakati wa kuongea kwa video tu!

Watoto wa miezi 18 - 24 watazame maudhui yenye ubora wa hali ya juu, na wazazi wanapaswa kutazama nao.

Watoto wa miaka 2 - 5 wanaweza kutazama maudhi yenye ubora kwa saa 1 kwa siku, na wazazi wanapaswa kutazama nao.

Watoto wa miaka 6 na kuendelea wanapaswa kuwa na kikomo kwenye muda waotumia kutazama na kwamba maudhui ya kidigitali hayachukui muda wa kulala, michezo au mwingiliano na watu wengine.

Chora
Herufi
Hisia na Marafiki
Jifunze Kiingereza
Namba na Maumbo
Soma
  • Hadithi MPYA: Imba na Mimi! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za Kiswahili
    215K views

    Hadithi MPYA: Imba na Mimi! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za Kiswahili

  • Maneno ya miujiza! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto
    26,9K views

    Maneno ya miujiza! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

  • Mikono na Miguu! | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto
    29,2K views

    Mikono na Miguu! | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

  • Hadithi: Muda wa Kulala! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za Kiswahili
    56,8K views

    Hadithi: Muda wa Kulala! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za Kiswahili

  • Hadithi MPYA: Marafiki Wakubwa na Wadogo! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za KiswahilI
    41,4K views

    Hadithi MPYA: Marafiki Wakubwa na Wadogo! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za KiswahilI

  • Ndizi ni tamu sana! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za Kiswahili
    179K views

    Ndizi ni tamu sana! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za Kiswahili

  • Mtafute Chura! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za Kiswahili
    68,4K views

    Mtafute Chura! | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za Kiswahili

  • Nina anakula kila kitu! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto
    390K views

    Nina anakula kila kitu! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

  • Tunakula Mkate na juisi! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto
    153K views

    Tunakula Mkate na juisi! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

  • Jifunze Kusema Samahani! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto
    78,7K views

    Jifunze Kusema Samahani! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

  • Cheza pamoja na sisi! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto
    145K views

    Cheza pamoja na sisi! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

  • Marafiki Wapya wa Bush baby! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto
    143K views

    Marafiki Wapya wa Bush baby! | Hisia Zetu na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

Load more
  • Privacy Policy
  • Terms of Use

×