Skip to content
Akili and Me
  • Video
  • Vitabu
  • Shughuli
  • Wimbo
  • Duka
  • Kwa Walezi
  • Kiswahili
    • English
Akili and Me
  • Video
  • Vitabu
  • Shughuli
  • Wimbo
  • Duka
  • Kwa Walezi
  • Kiswahili
    • English
00:00:00
Jifunze zaidi
Inasaidia kufahamu muda wa kutazama skrini unaopendekezwa na wataalam, ambayo yalisasishwa na taasisi ya daktari wa watoto Marekani (AAP) mwaka jana. AAP imetoa mapendekezo ya fuatayo:

Kwa watoto wenye umri chini ya miezi 18, inapaswa watumie skrini wakati wa kuongea kwa video tu!

Watoto wa miezi 18 - 24 watazame maudhui yenye ubora wa hali ya juu, na wazazi wanapaswa kutazama nao.

Watoto wa miaka 2 - 5 wanaweza kutazama maudhi yenye ubora kwa saa 1 kwa siku, na wazazi wanapaswa kutazama nao.

Watoto wa miaka 6 na kuendelea wanapaswa kuwa na kikomo kwenye muda waotumia kutazama na kwamba maudhui ya kidigitali hayachukui muda wa kulala, michezo au mwingiliano na watu wengine.

Herufi

  • Privacy Policy
  • Terms of Use

×