Wewe ni mwalimu wa kwanza wa mtoto wako! Ukuaji wa Ubongo unakamilika kwa asilimia 85 ya watoto kabala hajatimiza umri wa miaka mitano. Mahusiano kati ya mlezi na mtoto, akiwa ni mdogo, ni muhimu sana kwa maendelea ya mtoto.
Akili and Me inawafundisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6 kuhesabu, kusoma, kuongea kiingereza, kuchora na kuendelea na maendeleo yake ya kijamii.
Angalia Video


