Akili ni mtoto mwenye miaka minne anayeishi na familia yake huko Kilimanjaro, Tanzania. Anayo siri! Kila usiku akilala anaingia katika dunia ya maajabu inayoitwa Lala Land!

Kwa watoto wenye umri chini ya miezi 18, inapaswa watumie skrini wakati wa kuongea kwa video tu!
Watoto wa miezi 18 - 24 watazame maudhui yenye ubora wa hali ya juu, na wazazi wanapaswa kutazama nao.
Watoto wa miaka 2 - 5 wanaweza kutazama maudhi yenye ubora kwa saa 1 kwa siku, na wazazi wanapaswa kutazama nao.
Watoto wa miaka 6 na kuendelea wanapaswa kuwa na kikomo kwenye muda waotumia kutazama na kwamba maudhui ya kidigitali hayachukui muda wa kulala, michezo au mwingiliano na watu wengine.
Akili ni mtoto mwenye miaka minne anayeishi na familia yake huko Kilimanjaro, Tanzania. Anayo siri! Kila usiku akilala anaingia katika dunia ya maajabu inayoitwa Lala Land!